Wizkid kutoa misaada kwa watoto christmas

Wizkid kutoa misaada kwa watoto christmas

Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Wizkid ameahidi kutoa misaada kwa watoto, Naira 100 milioni ambazo ni zaidi ya tsh 300 milioni kwa ajili ya sikukuu ya Christmas.

Wizkid ameeleza hayo kupitia Instastory yake kwa kuandika kuwa atafanya hivyo kwa ajili ya marehemu mama yake Jane Dolapo aliyefariki Agasti 18 mwaka huu jijini London.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags