WHOs HOT: Romy Jones

WHOs HOT: Romy Jones

Name: Romeo Abdul Jones aka RJ THE DJ

Birthday: August 16, 1985

Title: DJ/Artist

Most well known as the cousin of renowned singer Diamond Platnumz, Romy Jones is a popular DJ and music artist.

Romy aliingia kwenye muziki kama DJ wa Diamond, hadi pale ambapo akaingia kwenye muziki mwenyewe na kushirikisha watu katika nyimbo zake.

Mwaka jana alitoa Album iitwayo Changes ambayo ilimtambulisha vizuri zaidi katika muziki na nyimbo kama Sexy Mama Ft. Lava Lava iliyosikika kila kona.

We love RJ THE DJ because of his fashion style, amazing music na jinsi anavyotuwakilisha vyema vijana.

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Detricia Pamba

A Digital Journalist, Content Creation Executive at Mwananchi Communications Ltd and Chief Editor of Mwananchi Scoop. I'm also writes stories around Technology, every Wednesday on Mwananchi Scoop. My other famous segments on Mwananchi Scoop include LISTI and WHO’S HOT.


Latest Post

Latest Tags