Weusi kuachia ngoma ya Ronaldo

Weusi kuachia ngoma ya Ronaldo

Aisee tegemea kukutana na ngoma mpya inakwenda kwa jina la Ronaldo kutoka kwa kundi la Weusi , JohMakini tz  pamoja na Nikkiwapili  wamethibitisha ujuio wa ngoma hiyo kupitia kurasa zao za instagram.

Joh kwenye instagram yake amepost na kuandika"Who's ready?? Ronaldo  weusiofficial'' ambapo pia Nikk naye amepost na kuandika.............""Ronaldo by weusi mkono wa S2kizzy.

Ebwanaa eeeh!! Unaipa asilimia ngapi ngoma hiyo? Dondosha comment yako kupitia website yetu www.mwananchiscoop.co.tz






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags