Wema alia na Aristote

Wema alia na Aristote

Ukisikia kimeumana ndiyo haya sasa ambayo yamemkuta mfanya biashara Aristote baada ya star wa filamu nchini Wema Sepetu kumtaka mfanya biashara huyo aache kumfuatilia.

Wema Sepetu  ameamua kumjibu Aristote kufuatia kauli yake ya kusema kwamba hana gari (Usafiri wowote) bado ana-Request Uber.

Sepetu ameibuka na kumjibu wakati akiwa Insta-Live na kumuomba kuwa amuache na maisha yake kwani hajawi kumuomba kitu chochote


"Nimefulia Sawa !!, Je, nishwahi Kukuomba hela ya kutumia, Chumvi ?" – Wema.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags