Watoto wa mastar wanaotupia zaidi

Watoto wa mastar wanaotupia zaidi

Leo katika fashion tunakuletea watoto wa mastar ambao wamekuwa wakitupia nguo kali na kufanya baadhi ya watu kutamani kuwavalisha watoto wao nguo za aina hiyo.

  1. Princess Tiffah na Prince Nillan

Princess Tiffah na Princenillan hawa ni watoto wa msanii wa muziki wa bongofleva Nasibu Abdul maarufu Diamond Platinumz na mwanadada machachari wa nchini Uganda Zari Hassan maarufu Zarithebosslady.

  1. Baby fansy

Huyu ni mtoto wa Mkurugenzi wa EFM, Majay na mwanamitindo Hamisa Mobeto amekuwa akitupia nguo kali ambazo zimekuwa zikiwavutia wazazi wengi wenye watoto wa kike.

Mtoto huyu anavalishwa vizuri sana na mama yake Hamisa ina inaonekana ni kwasababu ni mwanamitindo.

  1. Jaden The Greatest

Mtoto wa msanii wa filamu Ray Vicent Kigosi na Chuchu Hans anaitwa Jaden ni miongoni mwa watoto wanatupia Pamba kali hapa nchini.

Huyu pia amefuata nyayo za watoto wa Diamond Platnumz na Zari yaani Princess Tiffah na Prince Nillan kwa kupiga Pamba kali na kuzivutia kampuni za matangazo ya watoto wa mastaa.

  1. Cookie La Princessa

Malikia wa filamu Aunty Ezekiel na aliyekuwa mchumba wake Mose Iyobo walibahatika kupata mtoto wa kike waliomaptia jina la Cookie.

Huyo ndiye mtoto wa kwanza wa mastaa hawa wawili na kulingana na picha zao…mtoto huyu aliwaletea furaha kwenye maisha yao.

Kikukweli Aunty Ezekiel amekuwa akimvalisha nguo nzuri mtto huyo na za kuvitia kwa kweli.

 


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post