Watoto wa Harry na Meghan wapata vyeo vipya

Watoto wa Harry na Meghan wapata vyeo vipya

Watoto wa Duke na Duchess wa Sussex wamepewa majina rasmi ya Mwanamfalme na Bintimfalme katika wavuti rasmi wa Ufalme wa Uingereza.

Hii inakuja siku moja baada ya Mwanamfamle Harry na mkewe Meghan kutangaza kwamba binti yao Lilibet amebatizwa na wametumia cheo cha Bintimfalme kwa mara ya kwanza.

Archie na Lilibet  wamepewa majina mapya ambayo ni Mwanamfalme na binti mfalme wa Sussex, repoti hiyo imechapishwa katika ukurasa wa urithi wa kifalme.

Watoto hao ambao ni wa sita na saba katika orodha ya urithi wa ufalme.

Awali watoto hao walitambulishwa kama Master Archie Mountbatten Windsor na Miss Lilibet Mountbatten-Windsor.


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post