Wataimba  kwangwaru pamoja baada ya miaka mitano

Wataimba kwangwaru pamoja baada ya miaka mitano

Ni siku chache zimepita baada ya msanii wa #BongoFleva Diamond kuzindua tamasha lake na kufunguka kuwa atafurahi kama  Harmonize na Alikiba wakikuwepo katika tamasha hilo.

Licha ya mwanzo harmonize kudai kuwa hatoweza kutokea katika tamasha hilo lakini sasa  ameweka wazi kupitia InstaStory yake kuwa atakuwepo.

Harmonize ameandika

“nimeamua nitakuwepo Mtwara!! Hakikisha unanunua tickes tukaijaze Nangwanda umesha imagine Kwangwaru linapigwa live pale after 5 years”






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags