Wasanii wamcheka Makabila baada ya kuachwa

Wasanii wamcheka Makabila baada ya kuachwa

Baada ya msanii wa singeli nchini Dulla Makabila kushusha ujumbe kuhusiana muda aliopoteza kwenye mapenzi na jinsi anavyoumizwa kwa kuachana na mkewe.

Kitendo hicho kimewafanya wasanii wengi ku-comment utani katika post hiyo baada ya msanii huyo kudai kuwa hatojihusisha kwenye mahusiano tena.

Wasanii hao wakiongizwa na Stan Bakora ali-post picha ya Makabila huku akieleza kuwa msanii huyo amezidi maana alikuwa ni sikio la kufa, Billnas naye hakukaa kimya alitupa dongo lake kwa kumwambia kuwa sasa hivi aanze kwenda kwenye cosmetics mwenyewe maana akipata mwanamke tu mwenye dressing table anatangaza ndoa huku baadhi ya wasanii wengine wakituma emoji za kumcheka akiwemo Anjella  .

 

Una kipi cha kumshauri Makabila?
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags