Wanne wakamatwa kifo cha msanii Michael Williams

Wanne wakamatwa kifo cha msanii Michael Williams

Moja kati ya story ambayo kwa sasa ipo mitandaoni bwana ni hii hapa ambapo watuhumiwa wanne  waliohusishwa na kifo cha Marehemu  Michael Williams wamewekwa mbaroni.

Watuhumiwa hao wamekamatwa kwa  utumiaji wa Mihadarati lakini pia Kuzidisha dozi ya dawa za kulevya  zilizosababisha kifo cha Muigizaji huyo wa Tamthilia ya “The Wire”.

Unaweza kudondosha comment yako hapo chini kuhusiana na taarifa hiyo kupitia www.mwananchiscoop. co.tz.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags