Wanaowania Ballon d ’Or kujulikana leo

Wanaowania Ballon d ’Or kujulikana leo

Washindani wa Tuzo ya Ballon d'Or rasmi leo ‘listi’ yao itatoka na mshindi atatangazwa Oktoba 30 jijini Paris, nchini Ufaransa.

Lionel Messi ndiye anayeongoza kuchukua mara nyingi tuzo hiyo kubwa duniani akitwaa mara saba huku Cristiano Ronaldo mara tano.

Mwaka jana tuzo hiyo ilienda kwa mshambuliaji wa Al Ittihad kutoka Saudi Karim Benzema, ambapo alipata tuzo hiyo akiwa na Real Madrid.

 

Vipi nani anachukua msimu huu? dondosha ‘komenti’ yako hapo chini
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags