Wanaotandika kitanda kila siku wanauwezekano mkubwa wa kuwa mamilionea

Wanaotandika kitanda kila siku wanauwezekano mkubwa wa kuwa mamilionea

Utafiti wa hivi karibuni wa mtafiti Randall Bell umegundua kuwa watu wanaotandika vitanda vyao kila asubuhi wakiamka wana uwezekano mkubwa wa kuwa mamilionea.

Bell amegundua kuwa tabia ya kutandika kitanda husaidia mawazo chanya siku nzima na hupelekea watu kuwa na maadili na mpangilio mzuri kazi. Aidha utafiti huo umegundua kuwa watu matajiri huwa na tabia ya kusoma angalau kwa dakika 30 kwa siku na kuamka saa tatu kabla ya siku yao ya kazi kuanza.


Vipi leo umetandika kitanda?






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags