Walinzi kuongezwa uwanjani kuzuia fujo za mashabiki

Walinzi kuongezwa uwanjani kuzuia fujo za mashabiki

Uongozi wa ‘klabu’ ya  #ManchesterUnited unatarajia kuongeza ulinzi katika mchezo ujao dhidi ya #Copenhagen katika ‘ligi’ ya mabingwa ulaya kwenye mchezo utakao fanyika Uwanja wa #OldTrafford ili kudhibiti mashabiki wanaodaiwa kupanga kufanya vurugu.

Hiyo nikutokana na uongozi wa ‘timu’ hiyo kugoma kuiuza ‘klabu’ ya Man United wiki iliopita. Inadaiwa kuna kundi la mashabiki waliochukizwa na uamuzi wa familia ya Glazer kutoiuza ‘klabu’ hiyo wakiamini uwekezaji wao haunufaishi ‘timu’ bali unawabeba wao wawekezaji binafsi.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags