Wachezaji wa Taifa stars baada ya ‘mechi’ ibada

Wachezaji wa Taifa stars baada ya ‘mechi’ ibada

Baadhi ya wachezaji na sehemu ya benchi la ufundi la timu ya Taifa ya Tanzania #TaifaStars, walienda kufanya ibada ya Umrah katika msikiti mtukufu wa Makkah ambao upo nchini Saudi Arabia baada ya kumalizika kwa ‘mechi’ ya kirafiki ya Kimataifa dhidi ya Sudan.

Kutoka mji wa Al Taif ambao ‘mechi’ hiyo ilichezwa siku ya jana, Oktoba 15 hadi  kwenda mji ambao msikiti huo unapatikana ni mwendo wa saa moja tu kwa gari. Hata hivyo kwenye mchezo huo Taifa Stars ilitoka sare ya 1-1 dhidi ya Sudan.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags