virusi vya ebola vyazidi kusambaa kampala

virusi vya ebola vyazidi kusambaa kampala

Serikali ya Uganda ipo katika presha kubwa kutokana na kusambaa kwa Virusi vya  Ebola baada ya Wanafunzi 6 kukutwa na Maambukizi Jijini humo.

Idadi hiyo inafanya jumla ya Maambukizi Kampala kufika 15 ikiwa ni Siku chache tangu Serikali hiyohiyo kudai hakuna ongezeko la Maambukizi Jijini hapo.

Tangu mlipuko utokee Septemba 20, 2022 katika Mji wa Mubende, umesambaa Wilaya 7 huku Watu 109 wakipata Maambukizi na 30 kati yao wakifariki.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags