Maamuzi hayo yanatarajiwa kutekelezwa kuanzia katikati ya Mwaka 2023 na mchakato utaendelea hadi utakapokamilika Mwaka 2024
Ujerumani ina Wanajeshi 1,000 Nchini Mali, wengi wao wakiwa Kaskazini mwa Mji wa Gao chini ya mwamvuli wa Umoja wa Mataifa (UN) wakisaidia kulinda amani
Chanzo cha uamuzi huo ni baada ya Utawala wa Kijeshi wa Mali kuwakaribisha Wanajeshi wa Urusi katika Mji wa Gao. UN imesema haijapata taarifa rasmi kuhusu maamuzi hayo ya Ujerumani
Leave a Reply