Mwanamuziki Vannesa mdee, ameonesha kukasirishwa na baadhi ya watu wanaosema vibaya ngozi ya mtoto wake Seven kuwa nyeusi sana.
Msanii huyo amevunja ukimya na kuwajia juu wote wanaomsema mwanaye na kueleza kuwa wamuache maana ndiyo ngozi yake na ni mzuri kuliko wanavyofikiria.
Leave a Reply