Unaweza kutoa laki moja kununua viatu hivi

Unaweza kutoa laki moja kununua viatu hivi

Mbunifu maarufu kutoka nchini Marekani Imran Potato mwezi Novemba mwaka huu alizindua viatu vyenye muundo wa panya ambavyo vinapatikana kwenye tovuti yake kwa bei ya dola 75K ambayo ni zaidi ya Laki moja ya Kitanzania.

Mbunifu huyo alieleza kuwa amezindua mtindo huo kutokana na watu kuguswa tofauti na panya kwenye majumba yao.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags