Unaikumbuka Dar es Salaam Stand Up ya Chid Benz

Unaikumbuka Dar es Salaam Stand Up ya Chid Benz

Hakuna mtu yeyote kutoka Dar es Salaam  na mikoani huko ambaye ni ngumu kumfahamu Rashidi Makwiro maarufu kama Chidi Benz.

Mwamba huyu alifanya vizuri miaka ya nyuma ila kuna kipindi hali yake ilibadirika na hakuna mtu aliwaza kwamba angefikia kwenye hali ambayo alikuwa nayo, hii ila yote ni matokeo ya maisha ya umaarufu kwa vijana wengi.

Chidi Benz aka Chuma licha ya kuyumba kipindi fulani kimuziki baada ya kubainika kutumia dawa za kulevya, hiyo bado haijafanya watu wazisahau hit zake kali alizowahi kufanya kwenye Bongo Flava na mambo mengi mema aliyoufanyia muziki huu.

Na sisi leo katika TBT tunaikumbuka hit kali yake ya Dar es Salaam Stand Up, inaambiwa ni moja ya nyimbo iliyokuwa ikivutiwa na watu wengi.

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags