Unadhani Messi alistahiri kushinda Ballon d’Or 2023

Unadhani Messi alistahiri kushinda Ballon d’Or 2023

Mshambuliaji wa ‘timu’ ya Taifa Argentina na ‘Klabu’ ya Inter Miami ya Marekani, Lionel Messi amefanikiwa kushinda Tuzo ya Ballon d’Or 2023 na kufanikisha kutimiza Tuzo nane katika maisha yake ya ‘soka’.

Messi ameshinda tuzo hiyo akiwapiku mastaa wengine kama Erling Haaland na Kylian Mbappe ambao ndio waliofanikiwa kuingia tatu bora kuwania Ballon d'Or 2023.

Ikumbukwe Lionel Messi amenyakua Tuzo hizo mwaka 2009, 2010, 2011, 2012, 2015, 2019, 2021 na 2023.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags