Umati wa watu wafurika kununua Iphone 15

Umati wa watu wafurika kununua Iphone 15

Ikiwa jana ndiyo siku rasmi ambayo simu za Iphone 15 zilianza kuuzwa kwenye maduka mbalimbali maarufu duniani, umati wa watu wamejitokeza kwenye duka la ‘kampuni’ ya Apple nchini Dubai (Apple Dubai Mall) kwa ajili ya kuwa wa kwanza kununua simu hizo.

Inaelezwa kuwa wateja hao walipanga foleni kuanzia Alfajiri ili kuwahi nafasi na kuwa wa kwanza kutumia simu hiyo huku kukiwa na ulinzi wa ziada kwa ajili ya kudhibiti watu hao.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags