Ukweli kuhusu ujauzito wa Wema Sepetu

Ukweli kuhusu ujauzito wa Wema Sepetu

Tanzanian Sweetheart, Wema Sepetu amejikuta akishindwa kuzuia hisia  baada ya picha na video zake, kusambaa katika mitandao ya kijamii zikimuonesha akiwa na ujauzito.

Wema kupitia ukurasa wake wa #Instagram ameonesha hisia hizo za furaha kwa kuwajibu mashabiki wanaosambaza picha na video hizo kwa kunanusha kutokuwa na ujauzito huo huku akiwataka mashabiki zake kuendelea kumuombea ilia pate mtoto. Wema ameandika,

“Alietengeneza hii kajua kuniliza, ila hata mawazo huumba rty, It’s the thought count jamani naulizwa sana na watu kama ni mjamzito, jibu ni hapana wapenzi ila tuzidi kuomba inshaallah ya’allah, ya’allah, ya allah nimekuita mara tatu”.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags