Ujenzi Ikulu Chamwino wakamilika

Ujenzi Ikulu Chamwino wakamilika

Ebwana moja kati ya taarifa njema kabisaa hususani kwa Watanzania ni hii hapa ambapo tayari ujenzi wa Ikulu ya Chamwino umekamilika.

Ujenzi wa Ikulu ya Tanzania wilayani Chamwino, Dodoma umekamilika kwa 100%, ikiwa ni miaka 2.9 tangu ulipoanza.

Mkuu wa JKT, Meja Jenerali Rajabu Mabele amesema ni fahari kwa vijana wake kujenga jengo hilo na ni jambo zuri kiusalama kwa ofisi hiyo ya juu nchini kujengwa na jeshi.


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post