Ufaransa yasitisha misaada ya kimaendeleo nchini Mali

Ufaransa yasitisha misaada ya kimaendeleo nchini Mali

Ni baada ya kukamilisha hatua yake ya kukomesha uwepo wake wa Kijeshi wa Miaka 10 Nchini humo na kuishutumu Mali kuwa na Ushirikiano na Kundi la Wagner linalosemekana kuwa mamluki wa  Russia.

Hatua hiyo inatajwa kuhatarisha makumi ya Miradi ya Maendeleo ambayo inaendelea au iliyopangwa Nchini humo katika Miaka ijayo

Kusimamishwa huko kunakuja huku kukiwa na ongezeko la kutengwa kwa Mali na Nchi nyingine, baada ya Uingereza kutangaza itawaondoa Wanajeshi wake 300 wa kulinda Amani kutokana na ushirikiano wake na Urusi


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post