Udanganyifu wamuweka matatani Wayne na Post Malone

Udanganyifu wamuweka matatani Wayne na Post Malone

Post ‘Rapa’ kutoka Marekani Lil Wayne na Post Malone wanatuhumiwa kuidanganya Serikali nchini humo kupitia mradi wao wa kufundisha vijana kuacha kutumia madawa ya kulevya.

Serikali nchini humo kupitia shirika la ‘Business Insider’ iliwakopesha Wayne pamoja na Malone kiasi cha dola 9 milioni ili kuwezesha kufanikisha mradi huo, lakini mpaka kufikia sasa hakuna ripoti yoyote ya mafunzo.

Malone na Wayne walichukua mkopo huo katika kipindi cha janga la Corona, na sasa tayari wamefunguliwa kesi ya udanganyifu na‘Business Insider’ kesi ambayo inatarajiwa kusikilizwa siku zijazo.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags