Trump atangaza nia ya kuwania urais 2024

Trump atangaza nia ya kuwania urais 2024

Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump ametangaza nia yake ya kugombea tena Urais na kurudi Ikulu ya White House mnamo 2024.

Trump alizindua nia yake hiyo - ya tatu ya urais - siku ya Jumanne katika eneo lake la Mar-a-Lago huko Florida, wiki moja baada ya uchaguzi wa katikati ya muhula ambapo Republican walishindwa kushinda viti vingi katika Congress kama walivyotarajia.

Ni jaribio nadra sana la kiongozi wa zamani wa Marekani kutaka kutwaa tena Ikulu ya White House baada ya kushindwa katika uchaguzi. Je unahisi Trump ananafasi ya kutwaa tena ikulu ya Marekani?

Chanzo BBC






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags