The weeknd ampiga chini Justin Bieber

The weeknd ampiga chini Justin Bieber

Moja ya story ambayo inabamba katika mitandao ya kijamii ni hii ya msanii The Weeknd kumpiga chini Justin Bieber kwenye mtandao wa Spotify.

Unaambiwa The Weeknd bado anaendelea kuitawala Spotify kwani taarifa mpya zinaeleza kwamba amemzidi Justin Bieber kwa upande wa Monthly Listener (Wasikilizaji kwa mwezi).

Kwenye taarifa hiyo mpya ya Spotify imeeleza kuwa The Weeknd anawasikilizaji Milioni 85.6 kwa mwezi wakati Justin Bieber akiwa na wasikilizaji Milioni 83.8.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags