The Rock  arejea WWE baada ya miaka minne

The Rock arejea WWE baada ya miaka minne

Star wa mchezo wa mieleka Dwayne Johnson ‘The Rock’ amethibitisha kurudi kwake WWE kwa kishindo huku mashabiki wakionekana kushangazwa na star huo ambaye alipumzika ndani ya miaka 4 kushiriki mchezo huo.

The Rock aliushangaza umati uliokuwa ukitazama WWE Smackdown kwenye Ball Arena Denver, Colorado alipotoka nyuma ya mashabiki hadi kwenye ulingo akiimba na kucheza, kwa sauti kubwa.

Kila mtu alishituka, akishangilia na kum-record video star huyo kupita simu zao. Mara ya mwisho gwiji huyo wa WWE alicheza ‘mechi’ ya mieleka Oktoba 2019.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags