The Rock amemzawadia mama yake gari

The Rock amemzawadia mama yake gari

Yees!! Unaambiwa mambo mazuri bhana na bahati humdondokea mtu bila kuwa na yakini ya kupata jambo Fulani hii imedhihirika kwa Muigizaji mwenye wafuasi wengi zaidi instagram akiwa na wafuasi million 284 Dwayne Johnson maarufu 'The Rock'  ambaye amzawadia mama yake mzazi gari mpya katika siku ya Krismasi.

Gari hilo linatajwa kuwa ni aina ya 2022 Cadillac CT5 ambalo thamani yake ni $50,000, ambazo ni zaidi ya fedha za kitanzania shilingi 115,300,000.

Ebwanaa eeh!!! Tuambie mdau kwa upande wako um ebahatika kupata zawadi katika msimu huu wa Christmas?

Tupia comment yako kwenye ukurasa wetu www.mwananchi scoop.co.tz.

 

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags