TFF Yamshtaki kocha wa Azam Fc

TFF Yamshtaki kocha wa Azam Fc

Alooooh! TFF siku hizi haitaki mchezo kabisa waswahili wanakwambia hawana mba mba mba kabisa, asubuhi ya kuamkia leo july, 25 Sekretarieti ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imemfungulia mashitaka Kocha wa Azam FC U-17, Mohamed Badru mbele ya Kamati ya Maadili kwa madai ya kuwasilisha vyeti visivyo sahihi

Tarehe ya kusikilizwa kwa shauri hilo itapangwa na Kamati ya Maadili ambayo tayari imeshapokea malalamiko hayo

Ama kweli TFF wameamua dondosha komenti yako hapo chini mtu wangu wa nguvu, je wanacho kifanya TFF ni sawa kwa ajili ya kuweka nidhamu katika katika mchezo wa mpira wa miguu?






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags