Tekashi69 Ataka kuzichapa baada ya kurushiwa Chupa

Tekashi69 Ataka kuzichapa baada ya kurushiwa Chupa

Rapa kutoka Marekani Daniel Hernandez maarufu kama Tekashi69 or 6ix9ine amerushiwa Chupa ya Maji na shabiki akiwa UFC las Vegas akishuhudia Mapambano ya ngumi.

Unaambiwa baada ya tukio hilo Rapa huyo hakuweza kukausha bwana kwa hasira akarudisha mashambulizi kwa kumrushia shabiki huyo chupa na kutaka kuzichapa hadharani.

Nakukumbusha tu kuwa tukio kama hili halijamkuta Rapa huyu peke yake bali hata dababy aliwahi kurushiwa chupa ya maji kwenye TamashakubwalaRolling loud pamoja Itsbobbyshmurda kwenye Made In America Fest.

Hii kisayansi tunaiitaje wadau? Haha tuandikie comment yako hapo kupitia www.mwananchi scoop.co.tz

 

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags