TBT: UNAIKUMBUKA USINISEME YA ALIKIBA

TBT: UNAIKUMBUKA USINISEME YA ALIKIBA

Na Habiba Mohamed

Whats up my people happy new year everybody…..hope uko vyema kabisa zaidi nikushukuru kwa dhati kwa kuendelea kufatilia kurasa zetu za  mwananchiscoop kwa kusoma story mbalimbali za kuelimisha na kuburudisha.

Obviously it’s a new year bado tuko  na vibe la sikukuu leo kwenye throuback Tuesday ( TBT ) tumekuletea nguli, mfalme katika tasnia ya Bongo fleva mwenye mikwaju mikali toka miaka ya 2000 na bado zinakubaliwa na jamii kutokana na jumbe zake huyu si mwingine ni mtoto wa Kariakoo Ally Saleh Kiba maarufu Alikiba

Alikiba ambaye  ni CEO wa label ya Kingmusic kwa sasa anatamba zaidi kwa wimbo ‘UTU’ unaopatikana kwenye Album yake ya Only one King ilikuwa released November 2021.

Allright leo si vibaya nikakurudisha nyuma kidogo kwa kutazama mkwaju wa ‘Usiniseme’ ulifanya pouwah sana kwa kipindi cha miaka ya 2009 ambapo huko mtaani walivibe nao hususani kwenye mashughuli kama sikukuu.

Let me know your comment kupitia kurasa zetu za MwananchiScoop page on instagram kwa kutuambia lines gani kwenye wimbo huo unaukubali sana ama kutuambia wimbo gani wa King Kiba wa zamani kwako bado  ni unyamaa hadi leo.

Till next time byee byeee.






Comments 2


  • Awesome Image
    Habiba Mohamed

    #be scopper,let keep pushing 🔥🔥

  • Awesome Image
    Habiba Mohamed

    #be scopper,let keep pushing 🔥🔥

Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags