Tamasha la Lil Baby lazua balaa

Tamasha la Lil Baby lazua balaa

Polisi nchini Marekani imeripoti kuwa mtu mmoja amepigwa risasi wakati wa tamasha la rapper kutoka nchini humo Lil Baby lililofanyika FedEx Forum.

Tamasha hilo lilifanyika usiku wa kuamkia Alhamis, polisi wameeleza kuwa walipokea ripoti hiyo na kuwahi eneo la tukio kwa ajili ya kutoa msaada. Lakini mpaka sasa hajatambulika aliyefyatua risasi hizo.

Kwa upande wa majeruhi alikimbizwa hospitali kwa ajili ya matibabu zaidi. Aidha kwa upande wa msanii huyo mpaka sasa haja-post chochote katika mitandao yake ya kijamii kuhusia na tukio






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags