Spider Man wa bongo Amkera Wema Sepetu

Spider Man Wa Bongo Amkera Wema Sepetu

Moja ya story ni hii ya aliyewahi kuwa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu ameweka wazi kukerwa na Spider Man wa Bongo ambaye anatrend mitandaoni akicheza taarab na kuuza matunda barabarani.

Wema ambaye pia ni msanii wa filamu ameshea hisia zake kwa Spider Man wa Bongo baada ya comment yake kwenye page ya Esma Platnumz aliyom-post Spider Man akimpa ushauri kuhusu nguo yake ya ndani.

Wema aka-comment kwenye page hiyo kwa kuandika 'Simpendi' jambo ambalo limefanya mashabiki wengi kumshambulia Wema kwa kutoa comment hiyo.

Tuambie na wewe msomaji wetu jambo gani linakukera kwa Spider Man wa bongo, tupia comment yako katika ukurasa wetu wa Instagram ambao ni @mwananchiscoop.


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Janeth Jovin

A writer, reporter, presenter and news anchor for Mwananchi Scoop. Her writings are based on business, money management on Tuesday and health on Thursday on Mwananchi Scoop. Her famous segments on Mwananchi Scoop include KARIA and FASHION.


Latest Post