Snoop dogg kumiliki label ya death row records

Snoop dogg kumiliki label ya death row records

Rapper kutoka nchini Marekani Calvin Broadus  maarufu Snoopdogg sasa ni mmiliki rasmi  wa label ya deathrow records ya kwani ameripotiwa kuinunua kutoka kwa blackstone inayomilikiwa na mnrk music group.

Snoop sasa  ataiongoza brand hiyo katika miaka ijayo akiwa kama mmiliki,niku kumbushe kuwa Snoop  alijiunga na label hiyo 1993 ambapo aliachia album yake ya kwanza "doggstyle.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags