Sitokata rufaa kupinga kutenguliwa, Sheikh Alhad

Sitokata rufaa kupinga kutenguliwa, Sheikh Alhad

Baada ya Alhad Mussa Salim kutenguliwa nafasi ya kuwa Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam huku nafasi yake ikichukuliwa na Sheikh Walid Omary, amesema ataendelea kuwa ndani ya Baraza katika nafasi nyingine

Akizungumza na moja ya chombo cha habari katika mahojiano yake alieleza kuwa  “Sijapewa taarifa rasmi lakini sina sababu ya kukata rufaa, Ni maamuzi ya Baraza ni chombo chetu tumekiweka na kina Mamlaka ya kufanya hivyo Kwanini wameniondoa sijui, nadhani watayataja wao” amesema Sheikh Alhad Mussa

Mmmmmmh! Naona mtanange bado mkubwa, haya watu wetu wa mwananchi scoop unalipi la kuchangia katika hili dondosha komenti yako hapo chini.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags