Simba yalamba dili la Billion 26 M-bet

Simba yalamba dili la Billion 26 M-bet

Nyie nyie ama kweli uchawi upo hahhah! Majiraniiiiiii! Kama nawaona vile upande wa pili hali wa liokuwa nayo hivi sasa, watoto wa Msimbazi wakisema wamekuja kivingine basi wako kivingine, wameamua kusaini mkata wa kuvunja na shoka amabao umeduble ule wa watani wao.

Simba SC imeweka wazi thamani ya mkataba wake na M-Bet ambayo ni kiasi cha Bilioni Ishirini na Sita, na milioni mia moja sitini na nane na elfu tano kwa muda wa miaka mitano.

Aloooooweee! Alooootenaa!kama wewe ni Simba embu dondsha komenti yako hapo chini wakujue sio muda wa kujificha huu, jiachie wakuone wewe hahaha!.

 

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags