Simba yakemea waliompiga shabiki wa Yanga

Simba yakemea waliompiga shabiki wa Yanga

‘Klabu’ ya #Simba imekemea vikali na kusikitishwa na tukio ambalo lilisambaa katika mitandao ya kijamii kupitia video ikionesha baada ya mchezo wa Simba Vs Ihefu, mashabiki wa #Simba wakimpiga shabiki wa ‘klabu’ ya #Yanga, aliye enda kuangali mchezo huo.

Kupita ukurasa wao wa Instagram ‘klabu’ ya Simba wame-post ujumbe wa maandishi ikiwataka wanamichezo wote na mashabiki wa mpira kuzingatia upendo, umoja na mshikamano.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags