Simba yaanza ukurasa mpya

Simba yaanza ukurasa mpya

Afisa Habari wa ‘klabu’ ya #Simba, #AhmedAlly amewataka mashabiki waongeze imani kwa ‘timu’ hiyo licha ya kupata matokea yasiyoridhisha  hivi karibuni.

Ahmed ameyasema hayo kupitia ukurasa wake wa #Instagram ameandika ujumbe wa kuwaomba mashabiki wa #Simba kuipa imani tena ‘timu’ yao kwani jana wamekuwa na kikao kizito na wote wamekubaliana kubalidika mmoja mmoja kila eneo lake.

‘Klabu’ hiyo ilikaa kikao kizito siku ya jana kujadili namna ‘timu’ yao inavyoenda kutokana na matokeo yasiyoridhisha na  kufikia muafaka wa kuanza ukurasa mpya kwa kujipanga.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags