Show ya Rihanna ya Super bolw yavunja rekodi

Show ya Rihanna ya Super bolw yavunja rekodi

Kwa mujibu wa wakala wa ripoti za vyombo vya habari nchini Marekani Nielsen Rating, wameripoti kuwa show ya Rihanna Half Time Super Bowl ndiyo show iliyotazama zaidi kuliko Show zote zilizowahi kufanyika kwenye fainali za mpira wa Marekani.

Kufuatia Us Today wameandika kuwa Show hiyo ya Riri ilitazamwa na zaidi ya watu Milioni 121 ambapo imefanikiwa kuvunja rekodi ya Katy Perry  mwaka 2015 ambayo ilitazamwa na watu Milioni 120.7.

Ooooooooh! Mwanangu sana embu dondosha koment yako hapo chini na utueleze mtazamo wako katika show ile alioifanya mama kijacho Rihanna je ni kweli imeupiga mwingi au laah.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags