Shamsa: Usione aibu kupoteza marafiki

Shamsa: Usione aibu kupoteza marafiki

Msanii wa filamu nchini, Shamsa Ford ametoa ujumbe mzito kwa kuwataka watu wasiogope kuwapoteza marafiki ambao hawaongezi tija kwenye maisha yao.

Shamsa ametoa ujumbe huo kupitia ukurasa wake wa Instagram ambapo aliandika “Usione aibu kuwapoteza marafiki ambao hawaongezi tija kwenye maisha yako, siyo  kila mtu anayejuana naye lazima awe rafiki yako wengine acha wabaki kuwa mnajuana tu.

“Tafuta marafiki bora ambao watakupa sapoti kwenye biashara yako au kazi unayoifanya na wewe uwe tayari kwasapoti ili mwisho wa siku mfanikiwe wote,” aliandika Shamsa

 

 

 

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags