Shamsa;Nitaolewa na nani

Shamsa;Nitaolewa na nani

Habiba Mohamed

Ebwaaanaeeeh! Mambo ni moto hawa mastaa siku hizi mamechachukwa hatari wengine wakibahatika kupata ndoa huku wengine wanafanikiwa kupata watoto, lakini wengine bado wanamaswali ya kujiuliza kuwa wataolewa na nani?

Basi bhana kupitia ukurasa wa Instagram wa mrembo huo ameshare video akionekana yuko location iliyoambata na caption hii hapa.

 “Saa nane usiku bado niko location,wazee wanasema usifanye kosa kuchagua mtu wa kukuoa,sasa mimi nitaolewa na nani atakaye elewa kazi yangu “amesema shamsa ford

Pia katika video hiyo akaongezea kwa kuandika ujumbe unaosema ” Nitaolewa na nani mie ambaye anaweza kuielewa kazi yangu,.Maana hata nipewe kila kitu siwezi kuacha kuigiza sanaa ipo kwenye damu”amesema mwadada huyo

Alooooh!haya mwanangu wa faida  shusha comment yako hapo chini maneno aliyoyasema msanii huyo yana ukweli  wowote kwa wasanii kushindwa kuolewa.






Comments 2


  • Awesome Image

    Ataolewa na sanaaa, si amesema hayupo tayari kuiacha? 😂

  • Awesome Image

    Ataolewa na sanaaa, si amesema hayupo tayari kuiacha? 😂

Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags