Shabiki apata maokoto kutoka kwa Drake

Shabiki apata maokoto kutoka kwa Drake

‘Rapa’ kutoka nchini Marekani #Drake ameendelea kuonesha uugwana kwa mashabiki zake na sasa amemkabidhi shabiki aliyekuwa akisumbuliwa na maradhi ya saratani dola 100K ambazo ni zaidi ya tsh 250 milioni.

Drake ametoa pesa hizo wakati akiwa katika show yake ya hivi karibuni iliyofanyika Nashville baada ya kumuona shabiki akiwa ameshika bango lililoandikwa ‘Just Finished chemo’ akimaanisha amemaliza matibabu ya kansa, ndipo ‘rapa’ huyo akamzawadia pesa hizo kwa


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post