Saweetie atamani mtoto

Saweetie Atamani Mtoto

Msanii kutokea nchini Marekani, Saweetie amefunguka na kusema anatamani kuwa na mtoto na kuitwa mama kwa sasa kwakuwa anaona umri wa kupata mtoto umefika.

Mwanadada huyo amefunguka hayo hadharani kwenye interview yake aliyoifanya hivi karibuni na kusema kwamba kwa sasa nia yake ni kupata mtoto.

Saweetie alitoa jibu hilo baada ya kuulizwa swali kama anatarajia kuachia album mpya hivi karibuni na kusema kwamba hapana na mpango wake kwa sasa ni kuwa na familia.

 
Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Janeth Jovin

A writer, reporter, presenter and news anchor for Mwananchi Scoop. Her writings are based on business, money management on Tuesday and health on Thursday on Mwananchi Scoop. Her famous segments on Mwananchi Scoop include KARIA and FASHION.

Latest Post