Safari ya kupanda milima ya Uluguru

Safari ya kupanda milima ya Uluguru

Eeehh bwana eeh! Wazee wa party and adventures, kama kawaida, you know your girl will hook you up with the best of the best.

 

This week katika BATA BATANI, I’m gonna hook you up na one of the places nilizotembelea mwaka huu kuchill, relax na kufurahia nature

If you are a lover of adventures, this is a place to be.

The Uluguru mountains are a mountain range in eastern Tanzania, named after the Luguru tribe. The main portion of the Uluguru mountains is a ridge running roughly north-south and rising to 2,630 metres altitude at its highest point.

Kutembelea milima hii sio kazi ya kitoto. Nilipoenda, tulitembelea takribani masaa mawili tukipanda milima ili kufikia waterfalls. 

Kama wewe unapenda hiking, basi hii trip itakufaa zaidi kwani ni mazoezi ya kutosha.

Ukifika juu yam ilima, views are everythinggg. Utaweza kuona mji kwa mbali na hali ya hew ani nzuri. Huko milimani pia kuna mashamba ya matunda mbalimbali kama vile strawberry, ambapo utakuta wakulima wanauza kwa bei ya elfu 3 kwa packet.

Kama haujawahi kuhike these mountains, fanya mchakatoooo!

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Detricia Pamba

A Digital Journalist, Content Creation Executive at Mwananchi Communications Ltd and Chief Editor of Mwananchi Scoop. I'm also writes stories around Technology, every Wednesday on Mwananchi Scoop. My other famous segments on Mwananchi Scoop include LISTI and WHO’S HOT.


Latest Post