Ruto aamuru mageuzi ya Jeshi la Polisi

Ruto aamuru mageuzi ya Jeshi la Polisi

Rais Ruto amesisitiza dhamira ya Serikali yake katika kukomesha Mauaji holela Nchini humo, kwa kuagiza Mipango ya Mageuzi ya Jeshi hilo na uangalizi wa Raia

Hayo yamejiri Siku chache baada ya kusambaratisha Kitengo cha Polisi kinachodaiwa kuhusika na Mauaji na kutoweka kwa Watu ambao wameongezeka Miaka ya hivi karibuni

Ripoti zinasema hatua hiyo ilifuatia uchunguzi wa kutoweka kwa raia wawili wa India na Dereva wao Mwezi Julai na Mauaji ya Mwandishi wa Pakistan, Asharad Sharif.

 


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post