Rushaynah : Harmonize sio mpenzi wangu

Rushaynah : Harmonize sio mpenzi wangu

Baada ya video na picha za aliyekuwa mke wa Haji Manara, Rushaynah na Harmonize kusambaa kwenye mitandao ya kijamiii, huku wengi wakidai kuwa wawili hao huwenda wakawa wapenzi, sasa Rushaynah ameweka wazi kuwa yeye na #KondeBoy hawana uhusiano wowote wa kimapenzi.

Rushayna amedai kuwa video na vyote vilivyosambaa mtandaoni ilikuwa ni vya siku ya uzinduzi wa wimbo wa Harmonize, kwa hiyo isitafsiriwe tofauti.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags