Rose Muhando atamani mume mzungu, mwenye pesa

Rose Muhando Atamani Mume Mzungu, Mwenye Pesa

Aiseee hii ni kubwa kuliko bwana tunaweza kusema hivyo, ambapo Msanii wa Injili  na Hit Maker wa ‘Utamu wa Yesu’ Rose Muhando Amesema anaomba apate mume mzungu mwenye pesa.

Ebwana eeeh Rose Muhando ameshea taarifa hiyo kupitia ukurasa wake wa Instagram akiupa promo wimbo wake mpya huku akitaja ombi lake analotamani mwaka huu 2022.

"Yesu nitendee, ombi langu mwaka huu nataka nipate mume mzungu na mwenye ela".

Hatari hayo ndiyo maombi ya msanii huyu wa Injili kwa mwaka huu vipi kwa upande wako mdau wa mwananchi scoop, wewe umeomba nini? unaweza kushare nasi kupitia www.mwananchiscoop.co tz.


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A writer, reporter, presenter and news anchor for Mwananchi Scoop. Her writings are based on Career and skills development every Monday and entertainment, every Friday on Mwananchi Scoop. Her famous segments on Mwananchi Scoop include SMARTPHONE and NIPE DILI.


Latest Post