Romyjons: Maisha magumu lakini usikate tamaa

Romyjons: Maisha magumu lakini usikate tamaa

Alooooo! Mapema leo kupitia ukurasa wake wa instagram yule kaka wa mwanamuziki mashuhuri ndani na nje ya nchi Diamond, Romyjons ambae pia ni msanii ameandika ujumbe kuntu sana wa kuwaeleza watu na mashabiki zake kuwa hata iweje usikate tamaa.

“Maisha magumu ni kweli lakini usikubali kurudi nyuma na kumaliza kwa kuandika kuwa Lets keep going tafadhali” ameandika Romyjons

Haya sasa mdau wetu wa mwananchi scoop unakipi cha kuongezea katika haya alioyaandika kijana huyu.

 

 

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags