Robertinho atamani ‘mechi’ za kirafiki

Robertinho atamani ‘mechi’ za kirafiki

Kocha mkuu wa ‘klabu’ ya #SimbaSC, Robertinho amesema ‘timu’ yake ina siku 30 za mapumziko kwa hiyo ndani ya kipindi chote hicho anahitaji ‘mechi’ za kirafiki ili kuweka kikosi chake ‘fit’ kwa ajili ya ushindani.

Aidha ‘timu’ hiyo imecheza ‘mechi’ mbili na kupata mapumziko, ameleza kuwa wachezaji wake wanahitaji  mazoezi mepesi na ya nguvu, lengo ni kuitengeneza ‘timu’ ushindani ndani ya dakika zote 90.

‘Kocha’ huyo aliendelea kusema kuwa ameongea na viongozi wa ‘timu’ hiyo wamtafutie ‘klabu’ ambazo zitawapa changamoto wachezaji wao ikiwa lengo ni kujenga  utimamu wa wachezaji na kuwapa pumzi kwani wanamashindano mengi mbele.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags