Rishi Sunak huwenda akatangazwa kuwa Waziri mkuu Uingereza

Rishi Sunak huwenda akatangazwa kuwa Waziri mkuu Uingereza

Kutoka huko Uingereza ambapo Rishi Sunak anaweza kutangazwa kushika nafasi hiyo leo Oktoba 24, 2022, kufuatia Waziri Mkuu wa zamani, Boris Johnson, kujiondoa katika mchakato wa kurejea kwenye Uwaziri.

Aidha Johnson amechukua uamuzi huo kutokana na kuungwa mkono na Wabunge wachache tofauti na wanaomuunga mkono Waziri wa Fedha wa zamani, Rishi Sunak.

Hata hivyo nafasi hiyo ipo wazi kutokana na Liz Truss kuachia ngazi.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags